Thursday, November 14, 2013

BAADA YA JUMA KASEJA YANGA YAMSAJIRI HASSAN DILUNGA KWA MIAKA 3

Klabu ya Young Africans imekamilisha usajili wa kiungo Hassan Dilunga kutoka timu ya Ruvu Shooting kwa mkataba wa miaka mitatu.
Dilunga anakua ni mchezaji wa pili kusajili katika kipindi hiki cha dirisha dogo akimfuatia golikipa Juma Kaseja aliyesajiliwa mwishoni mwa wiki.

0 comments:

Post a Comment