Mwandishi
wa Habari za Michezo na Mchambuzi wa Masuala ya Soka Nchini Edo
Kumwembe amefunguka na kusema kuwa watu ambao hudai hawapendi
kutizama
Picha za Ngono katika Mitandao mbalimbali kuwa ni wanafiki
kwani wakiwa Peke yao wanazitizama vzurii tena kwa Matamanio makubwa.
Kumwembe
amefunguka hayo katika Ukurasa wake wa Facebook na kuonesha wazi kuwa
yeye si Mnafikii katika suala hilo.
“Asilimia
90 ya watu usema hawapendi picha za ngono...tena wanadai 'usinitag
picha chafu'....asilimia 89.5 kati yao huwa wanazipenda kimoyomoyo na
kwa muda wao binafsi wanazitazama kwa matamanio makubwa.”
Maisha
bila ya unafiki hayaendi...!!! asichotaka mtu ni kutazama akiwa na
wenzake, au kujulikana kama anatazama. tehe tehe tehe







0 comments:
Post a Comment