Tuesday, November 12, 2013

VIWANJA SITA VYA MPIRA VIMEFUNGWA HAVIPASWI KUCHEZEA LIGI KUU BARA

Kutokana na kulalamikiwa kwa viwanja visivyokidhi sifa kuchezewa Ligi kuu Bara Bodi ya Ligi kuu Bara imevifungia viwanja visivyo na sifa mpka vitakavyofanyiwa
marekebisho ndipo vinaweza kuendelea kutumika kuchezewa Ligi Kuu Bara.
Viwanja vilifungiwa ni pamoja na Kaitaba Bukoba, Mkwakwani jijini Tanga, Sokoine jijini Mbeya, Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Ali Hassan Mwinyi Tabora na Jamhuri Morogoro.

Viwanja hivi vimetumika katika Round ya kwanza ya Ligi kuu bara ambayo imemalizika siku chache zilizopita mpaka January Mwakani ambapo mzunguko wa Pili wa Ligi unatarajiwa kuanza kutimua vumbi


0 comments:

Post a Comment