Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Sengondo Mvungi ambaye alikuwa
Nchini South Afrika kwa matibabu baada ya kuvamiwa, kujeruhiwa na
kuporwa vitu mbalimbali ikiwamo kompyuta amefariki Dunia.
Kwa
Mujibu wa Mkurugenzi wa Habari Cooperation Hussein Bashe
amethibitisha kwa kuandika uJumbe katika Mtandao wake wa Twitter
uliosomeka
“Dr Sengondo Mvungi Is NO MORE,Allah ailaze Roho Yake Mahali Pema
Peponi "From SA Milpark Hospital".
MWENYEZI
MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU






0 comments:
Post a Comment