Mola
anatuambia nini kwa mtihani wa kifo cha dkt. Mvungi? Allah hawezi
kutuchukulia Mwalimu wetu kwa namna hii bila sababu.
Bwana
hawezi kumchukua baba yetu kwa njia hii bila somo kwetu. Huu ni
mtihani mkubwa. Kama Mwalimu aliyebobea, mjumbe wa tume ya katiba
anaweza kuvamiwa na kupigwa hatimaye kufariki, vipi kuhusu mwananchi
wa Kalinzi au Kidahwe? Ni mtihani. Mola atuafu......
0 comments:
Post a Comment