Msanii Mpya katika
Tasnia ya Bongo Fleva mwenye malengo makubwa ya kufanya poa katika
Muziki huu wa Bongo Fleva amefunguka na kusema kuwa
Ngoma yake Mpya
inayokwenda kwa jina la NAPENDEKA ana imani itafanya poa na
kumtambulisha Vizuri kwa Watnzania.
Ngoma ya Sir Tino
imefanyika katika Studio za Seductive Records chini ya Produza mkali
Mr T Touch,hii ni ngoma ya pili ya Msanii Sir Tino kuiachia baada ya
Kichupa chake kikali alichofanya na Mr Blue katika Ngoma yake
iliyokwenda kwa jina la Jiride ambayo pia Mr T Touch aliiba baraka
zake katika kuitengeneza.
Sikiliza Ngoma Mpya ya
Sir Tino NAPENDEKA HAPA







0 comments:
Post a Comment