Thursday, November 7, 2013

HIKI NDICHO ALICHOANDIKA BOB JUNIOR BAADA YA KUANDAMWA NA MAGAZETI YA UDAKU KUHUSU NDOA YAKE

Zikiwa zimeshapita siku kadhaa toka President wa Masharobaro kutangaza rasmi kuachana na mkewe ambaye amejariwa kuzaa naye Mtoto Mmojana kusema
kuwa aliachana naye kwa sababu za Kifamilia,vyombo vya habari hususani mitandao ya Kijamii na Magazeti ya Udaku yamekuwa yakiandika Habari ambzo kwa namna moja au nYingine zimekuwa zikimshushia Heshima President wa Sharobaro.

leo tena jamani hakuna habari nyengine hata kama nimeachana nae kanizalia napaswa kuwekewa heshima mwanangu akija kuwa mkubwaa nita mwambia nini mimi inaniumaa bob junior tuu akilala akiamkaa ni bob junior kila sehem...”



0 comments:

Post a Comment