Mkali wa Hip Hop
ambaye kwa sasa anafanya poa na ngoma yake Mwambie Wenzio aliofanya
na Darasa na Warda STAMINA leo anatimiza miaka kadhaa toka
aliposhuka
katika Dunia hii ambayo kwa namna moja au nyingine imempa Mafunzo
mengi ambayo alianza kuyapata toka kwa wazazi wake na kumsaidia leo
kujivunia kuitwa Stamina.
“Happy Birthday to
me ,shukrani kwa mwenyezi mungu kwa kunifikisha hadi leo ,Pia
shukrani kwa Marehemu Mama Yangu kwa kunileta Duniani.Mwisho kwa
Mashabiki ba wote Wanaoni support .MUNGU AWABARIKI”
Mpitanjia inakutakia
Maisha Marefu na Ukomavu katika kila jambo utakalolifanya maana hiyo
ni ishara ya Makuzi ya Binadamu.







0 comments:
Post a Comment