Baraza la waislamu nchini Tanzania BAKWATA limetoa taarifa kwa waislamu na wananchi kwa ujumla kuwa sikukuu ya Eid El Hajj itakuwa siku ya tarehe 16 October 2013.
Swala ya sherehe za Eid El Hajj kitaifa zitafanyika katika msikiti wa Farouk Kinondoni makao makuu ya BAKWATA jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment