Friday, October 11, 2013

TAZAMA PICHA JINSI KIKOSI CHA YANGA KILIVYOINGIA MJINI BUKOBA JANA

Mchezaji wa YANGA Mbuyu Twite akishuka katika Ndege
Vijana wa Yanga wakitua Katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Jana

Kelvin Yondani akifurahia uwepo wake katika Mji wa Bukoba jana

Wachezaji wa Yanga wakiwa na Kocha wao katika Pozi

Wachezaji wa Yanga wakiwa wanaingia Hotelini wakitokea Uwanja wa Ndege Jana

0 comments:

Post a Comment