Wednesday, September 25, 2013

VIDEO BILA KUKUNJA GOTI KUCHEZWA CHANNELO,MTV BASE, TRACE

Video ya Wimbo wa Bila kukunja Goti ya wakali wa Tanzania katika HipHop namzungumzia AY Pamoja na FA Imefanikiwa kupenya katika Vituo mbalimbali vya Lunninga Nje ya Tanzania.Kwa mujibu wa AY na FA wamedai kuwa mpaka sasa wimbo wao huo umefanikiwa kupenya katika Luninga kama TRACE,MTV Base,Channel 0 na Sound City ambapo muda si mrefu utaanza kuchezwa katika Luninga hizo.
Ngoma ya Bila Kukunja Goti imefanywa na Tanzania katika Studio za MJ Records chini ya Produza Markochali huku akiwa amesilikishwa Msanii J Martians kutoka Nigeria.

Siku nyingine hatua nyingine...video ya BILA KUKUNJA GOTI imefanikiwa kufikia viwango(imepita) TRACE,MTV Base,Channel O na Sound City...Yes,itaonekana kote huko...”

0 comments:

Post a Comment