Wednesday, September 25, 2013

USICHOKIJUA KUTOKA KWA MSANII DULLYSKYES TOKA AMEANZA MUZIKI MPAKA SASA.

Msanii Mkali wa Bongo fleva kutoka miaka ya 2000 mpaka sasa anetamba na ngoma kali kibao amefunguka jambo ambalo watu wengi walikuwa hawalitambui katika maisha yake ya muziki toka ameaanza miaka ya 90 mpaka sasa.
 DullySKYES amedai kuwa toka ameeanza kufanya muziki miaka hiyo mpaka ameweza kumiliki Studio zake mwenyewe mbili hajawai kulipa Fedha Studio kwa ajiri ya kurekodi nyimbo yoyote ile mpaka sasa na amedai kuwa haitakuja na hategemei kuja kulipa pesa yake mfukoni kufanya wimbo wowote ule.

Alipoulizwa kwanini ilikuwa ikitokea hivyo alidai kuwa mara nyingi alipokuwa akienda Studio anakuta biti ba maproduza walikuwa wakimpa na kumpa nafasi ya kurekodi kutokana na uwezo wake katika kutunga na kuimba pia.

0 comments:

Post a Comment