4:56 AM
Aliekuwa
Kocha wa Manchester United Sir Alex Ferguson's katika uwanja wa Old
Trafford ana seat ya kwakwe Special ambayo ina Namba 134 .Seat
hiyo haiwezi kukaliwa na mtu mwingine yoyote yule zaidi yake yeye
hata kama hatafika uwanjani na uwanja ukawa umejaa.
0 comments:
Post a Comment