Ligi kuu Bara leo inaendelea katika viwanja mbalimbali nchini Tanzania kwa kuzikutanisha Timu mbalimbali zinazoshiriki ligi kuu bara katika Viwanja Tofauti tofauti.
Timu ya Coastal Union ya Jijini Tanga leo inaingia katika Uwanja vya Nyumbani Mkwakwani kuikalibisha Rhino Rangers katika mtanange utakaoanza kutimua Vumbi muda wa Saa kumi kamili za jioni jijini Tanga.
Mashabiki mnaombwa kuhudhuria kwa wingi kuipa sapoti timu yetu.
1Shaban
Kado
2
hamad
3Abdi
banda
4Marcus
5Juma
nyosso
6Jery
santos
7Seleman
selembe
8Haruna
Boban
9Yayo
Lutimba
10Masumbuko
Keneth
11
Uhuru Suleysh
0 comments:
Post a Comment