VERSE1:
Kwanza
mapenzi safari, ujana ni maji ya moto
Walinenaga
zamani...
Pili
tumetoka mbali, matatizo changamoto
tu
visa visa fulani...
tatu
kidonda chako kwangu maradhi
Mama
tu usononekapo kwangu simanzi..
Kwa
mahaba uliyonipa nimenogewa
ni
vurugu patashika punguza kidogo..
Na
mengine kadharika toto si unanielewa?
Hapo
hapo uliposhika...ukiongeza kidogo mi mwenzako ntaumia
CHORUS:
Your
my number one - my sweety sweety
Number
one - my baby ooh oh
Your
my umber one...oooh my darling
Number
one - roho yangu mama x2
Roho
yangu mama...
VERSE
2:
Na
nna wivu sikatai, maana uchungu wa mapenzi naujua
So
Usije kunilaghai nikaja kuzama ukanizingua x2
Now
show me how they do..
Ngololo
x6
0 comments:
Post a Comment