Tuesday, September 17, 2013

IRENE AKANA SHUTUMA ZA KUIBA SIMU ASEMA ANACHAFULIWA KWA SABABU HIZI

Mwanadada anaefanya poa kupitia Tasnia ya ya Filamu Nchini Bongo movies amefunguka na kusema kuwa Mmiliki wa Magazeti Pendwa Erick..!
Shingongo amekuwa akimchafua kwa kumuandika vibaya katika Magazeti yake kwa sababu anakesi nae hivyo anataka kumfachua ili akate tamaa.

Minimti wenye matunda milele siogop kupigwa mawe...shigongo kamua kunichafua coz nakes nae mahakaman...anadhan ntaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wasiku sheria iatafata mkondo wake....minayake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali “

Mkali huyo wa Filamu Irene Uwoya ametoa kiapo kuwa ipo wakati atatoa siri juu ya kwanini Shigongo amekuwa akimchafua kupitia vyombo vyake vya Habari
Ipo siku ntaongea ukweli kuhusu shigongo na ushaid pia ntatoa...usilo lijua nikama usiku wagiza ndomana atawadanganya wasio na akili na wasio mjua....ntapgana nae mpaka tone la mwisho la damu yangu ntasema kila kitu kwanin ananichukia...na ntaweka kila kitu waz....den wenye akili watajua naongea nin...simuogop atakama atanichafua kiasi gan...hizo kwangu ni matone yamvua bado mvua yenyewe...”

I don care kwaatakae muamin but mwisho wa siku ukweli utaonekana na atataman ardhi ipasuke......mim irene uwoya sijashawishiwa na mtu wala kulazimishwa nahaaidi ya kwamba ntaongea kila kitu btwn me n him....eeh mwenyez ? MUNGU nisaidie.






0 comments:

Post a Comment