Monday, September 23, 2013

HI NDIO KAURI YA RAISI JAKAYA KIKWETE KWA TUKIO LA WEST GATE KENYA.

Rais wa Tanzania Jakya Kikwete amefunguka na kusema kuwa tukio la utekaji lililotokea katika eneo la West gate nchini Kenya linasikitisha na kukasirisha sanaa.

Mioyo yetu iko pamoja na watu wa Kenya katika tukio la mashumbulizi kwenye eneo la West Gate. Ni tukio la kusikitisha na kukasirisha sana.”

0 comments:

Post a Comment