2:53 AM
Msanii wa Bongo fleva
ambae ni mkali wa kudondosha Bongo crank Tz Cpwaa anatarajia
kutambulisha nyimbo zake mbili siku ya Tarehe 1 mwezi wa Kumi.
Kwa Mujibu wake anadai
kuwa anataraji kuachia nyimbo mbili ambazo zote zitakuwa na majina
yanayoanzia na herufi “C”
0 comments:
Post a Comment