“Maombi,Ubunifu,Juhudi
na Heshima ndio kitu pekee Kitacho kufanya siku zote uwe #NumberOne”
Lakini
pia amewataka Watanzania kutodanganyika kuwa pengine kuna mtu anaweza
kuwafanya kuwa juu zaidi ya MWENYEZI MUNGU.
Hayo
yamekuja kutokana na ukweli kwamba watu wengi wamekuwa wakizungumza
mambo mengi juu ya mafanikio ya mwanamuziki huyo na kuamua kuwaonesha
njia yake iliyomfikisha hapo alipo.
“Usidanganyike!
hakuna atakaeweza Kukueka juu zaidi ya Mwenyez Mungu Pekee....! Thaks
alot to my all Funs arround the World kwa Upendo wenu wa dhati Kwangu
#WCB for Life Baby”
0 comments:
Post a Comment