Show
Kali ya Wema Sepetu ambayo itakuwa ikimulika Maisha ya Wema Sepetu na
vitu avifanyavyo katika Maisha ya kila siku
itaanza kuruka Mwezi wa
Kumi kupitia EAST AFRICA TV Tinga'a namba moja kwa vijana.
Kwa
mujibu wa chanzo cha ndani cha EATV kimedai kuwa Msanii huyo nguli wa
Filamu wameshafanya nae Makubaliano na Show yake itaanza kuruka Mwezi
wa Kumi na Moja.
“Hii
lazima ieleweke hata iweje! Baada ya bandika bandua za kutosha, sasa
tunakubandikia hii nyingine! Kutana na malkia namba moja anayetikisa
hapa Bongo kwenye tasnia ya filamu, ulimbwende na biashara, Wema
Abraham Sepetu kwenye reality show yake inayoitwa "In my Shoes"
itakayoanza kudondoka hapa kwenye ting'a kali namba moko kwa vijana
kuanzia mwezi ujao! Unasemaje?
Hujaelewa bado? Basi pole pole tu utaelewa, usiji-stress, Ama nini?”
Hujaelewa bado? Basi pole pole tu utaelewa, usiji-stress, Ama nini?”
0 comments:
Post a Comment