Msaniii Z-Anto
alietamba miaka ya karibuni na kibao chake cha Binti kiziwi,Mpenzi
Jini akiwa chini ya Uongozi wa Tip Top Connection kutoka maeneo ya
Manzese amepata Pigo baada ya Kuondokewa
na Mama Yake Mzazi Leo.
Taarifa zilizopo ni
kwamba msimba utakuwepo Kigamboni alipokuwa akiishi Mama yake Mzazi
huyo.
Mungu akusaidie
Z-Anto katika kipindi kigumu hiki na Ailaze pema peponi Roho ya
Marehemu.Aminaaaa.
0 comments:
Post a Comment