Thursday, July 18, 2013

YERRICO NYERERE AMFANANISHA JAMES MBATIA NA MWEHU


Kufuatia Kutosikiliza na kupinga makubaliano ya kuongoza kwa pamoja kati ya Chama cha Chadema na NCCR-Mageuzi Yerrico Nyerere amefunguka na kusema kuwa James Mbatia ambae ni mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Taifa kuwa ni mwehu.

Akifafanua namna ambavyo walikuwa wamekubaliana kuongoza Halmashauri hiyo Mbunge wa Kigoma Kasikazini amesema

kuwaUongozi wa Juu wa CHAMA Cha NCCR-M umepinga makubaliano ya kuongoza kwa pamoja Halmashauri ya Wilaya Uvinza Kati ya CHADEMA na chama hicho. Tulikubaliana CHADEMA irejeshe fomu za uenyekiti, NCCR-M umakamu. CHADEMA imerejesha, NCCR-M imerejesha ya uenyekiti pia. Hivyo nafasi ya makamu Mwenyekiti imebaki na mgombea wa CCM tu”

0 comments:

Post a Comment