Mkali huyo amefunguka hayo baada ya Wadau na wanaharakati wake kupigiwa simu na kukatazwa kuomba wimbo huo Radioni na baadhi ya Raia ambao hawana mapenzi na Nikki Mbishi
“Asikutishe mpuuzi yeyote bwana,endeleza harakati askari,eti mtu anapigia watu simu na kuwaambia waache kurequest nyimbo za Nikki Mbishi redioni”
Nikki Mbishi amefunguka na kusema kuwa watu ambao wamepigiwa simu na kutakwa kuacha kuomba nyimbo za Nikki Mbishi wamekuwa na mapenzi mema na yeye hivyo wanampa taarifa kila wanapopigiwa simu.
“waliopigiwa wamenipa taarifa,dunia familia sio kijiji tena”






0 comments:
Post a Comment