Bondi
wa Ngumi za kulipwa Ulimwenguni Evander Holyfield ameeungana na mamia
ya watu ulimwenguni wanao mpongeza na kumuombea Raisi wa Kwanza
Mwafrika wa South Africa Nelson Mandela kwa kutimiza miaka 95 siku ya
leo.
“Want
to wish Nelson Mandela a happy birthday today. Be blessed in Jesus
name”
Nelson
Mandela bado amelazwa hospitali na inaripotiwa kuwa hali yake bado si
nzuri sana ingawa bado yu hai,Mzee
Madiba alilazwa kutokana na kusumbuliwa na Homa ya mapafu.







0 comments:
Post a Comment