HARD NAME |
Kijana
anaefanya poa katika tasnia ya muziki wa Rap nchini Hard Name ambae
alishatamba na ngoma kama Ng'ata ng'ata aliyompa shavu Tash kwa sasa
amesema Stress za Maisha ndizo zilizomfanya kuingia studio na kufanya
ngoma inayokwenda kwa jina la STRESS.
Hard
Name amesema kuwa katika maisha kuna mambo mengi ambayo
yanawachanganya watu,ikiwemo siasa,Maisha magumu na vitu vya namna
hiyo.
0 comments:
Post a Comment