Monday, July 22, 2013

MUUGUZI WA HOSPITALI YA WILAYA AKUTWA AMEFARIKI CHUMBANI KWAKE AKIWA MTUPU NA KUFUNGWA KITAMBAA MDOMONI.

Muuguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo,Aliefahamika kwa jina la Rehema Athumani, mwenye umri kati ya Miaka (20 -25).
Juzi alikutwa amefariki dunia chumbani kwake akiwa mtupu, huku mwili wake ukiwa umewekwa kitambaa mdomoni.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Juma Yusuph amethibitisha kifo cha Muuguzi huyo.

0 comments:

Post a Comment