Mtoto
mwenye umri wa miaka 17 anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa
na ngozi nne za chui zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni.....
22.8Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Constantine Massawe amesema kuwa mtoto huyo ni Mkazi wa Wilaya ya Handeni, alikamatwa kati ya Julai 21 na 23 mwaka huu wakati wa msako wa polisi uliofanywa kwa kushirikiana na Maafisa Wanyama Pori.
Mtoto
huyo alikamatwa akiwa Nyumbani kwao katika eneo la Zizini akiwa na
ngozi hizo Nne za Chui zenye Thamani ya zaidi ya Millioni
22.
“Operesheni hii ni kwa ajili ya kutafuta wahujumu wa nyara za serikali ... watambue kuwa itakuwa endelevu na tutawatia mbaroni wahusika wote,"
“Operesheni hii ni kwa ajili ya kutafuta wahujumu wa nyara za serikali ... watambue kuwa itakuwa endelevu na tutawatia mbaroni wahusika wote,"
CHANZO:
NIPASHE
0 comments:
Post a Comment