Yakiwa
yameshapita masaa kadhaa toka Mwanamuziki nguli katika Tasnia ya
Bongo kwa upande wa Wanawake Lady Jaydee kutangaza kuwa Katika
Sherehe za Idd mosi na Pili kuwa atakuwa Arusha na Team nzima ya
Machozi Band na Msanii nguli Hip hop Tanzania anaendelea kufanya poa
katika tasnia Prof Jay.
“Napenda kuwataarifu wakazi wa Arusha kuwa Prof Jay, Lady JayDee na Machozi Band tutakuwa kwenu Eid Mosi na Eid Pili karibuni tusherehekee pamoja,Team Annaconda inawatakia mfungo mwema kwa siku zilizobaki”
Fans
wa Lady jaydee wamemuhitaji kwenda Arusha na “YAHAYA” ili wapate
kumuuliza maswali na majibu ya maswali yao.
Joseph
Gerald 2nakusubiri kwa ham sijui utakuja lna huyo yahaya.. Bg up
da mkubwa!
Brain
Moshy Ma heewaaaa...umlete na Yahaya kabisa 2mulize anakoishi ni
wapi?big up sn,we are warmly welcom'z ya all with love ile 2tawa shoo
mazee .
Hamza
Kupela team anaconda ndo habari ya mjini vp yahaya unamleta lini
mbeya?
0 comments:
Post a Comment