Friday, July 26, 2013

MSHUHUDIE MWANAMKE ALIETAKA KUMUUWA MUMEWE WA NDOA NA MTOTO WAKE.


Janeth Jackson (32) ni Mwanamke anayedaiwa
kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo, aliepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo.

0 comments:

Post a Comment