Yule
mkali wa Hip Hop alielamba Tuzo tatu za Kili Music Awards kwa mwaka
2013 na kumuenzi Tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Hip hop late Ngwear
amefunguka na kusema kuwa kama Ngwear angalikuwa Hai asingempa Tuzo
hiyo.......!
Kala
Jeremiah amefunguka hayo alipokuwa Kikaangoni katika Ukurasa wa
Facebook wa EATV leo alipoulizwa swali hilo na moja ya Fans wake hao
kama je Ngwear angelikuwa Hai ungempa hiyo Tuzo?
“Nimempa
tuzo kama njia ya kumuenzi kiukweli angekuwa hai nisingempa”Alisema
Kala.
Mbali
na hilo watu wengi wamekuwa wakimshauri kuachana na masuala ya siasa
baada ya msaniii huyo leo kuandika waraka wake kwa watanzania
akimzungumzia Waziri mkuu mstaafu Mh Lowassa.
0 comments:
Post a Comment