Friday, July 26, 2013

DR SLAA AMESEMA WAO KAMA CHADEMA HAWAMTAMBUI JOHN TENDWA WANASEMA HATA WAO WALIMSHAMFUTA KABLA YEYE KUIFUTA CHADEMA.


Maneno hayo yametolewa na Katibu mkuu wa Chadema Dr Willibroad Slaa leo kufuatia kauli aliyoitoa msajili wa Vyama nchini John Tendwa kwamba atakifutia usajili chama cha Chadema baada ya......
kukaidi amri ya kutoanzisha kundi la Vijana wa Kuwalinda viongozi hao.


Katibu mkuu wa CHADEMA, Dr. Willibrord Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya msajili John Tendwa kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na sio John Tendwa.


Dr Slaa aliongezea kuwa amani ya nchi haiwezi kuwepo kama wananchi hawatotendewi haki katika Nchi yao wenyewe.

0 comments:

Post a Comment