Msanii
wa Filamu Tanzania Kulwa kikumba alimaarufu kama DuDE ambae
anajulikana sana kwa kuigiza masuala ya utapeli ndie amevalishwa
uhusika wa YAHAYA
Dude
ameigiza katika video ya wimbo wa Lady jaydee uliofanywa na Ogopa
Video kutoka Kenya.
unaweza
jiuliza kwanini Dude amekula shavu hilo la kuitwa YAHAYA hii
inatokana na ukweli kwamba Dude anaweza kuuvaa uhalisia huo kwani
alishajizolea umaarufu mkubwa wa kufanya utapeli kiasi cha watu
kumuogopa
pindi
waliupokutana nao wakihisi angeweza kuwa tapeli kweli kutokana na
umahiri wake wa kazi yake hiyo katika kipindi cha BONGO Dar es Salaam
kilichokuwa kikirushwa katika Luninga ya Taifa.







0 comments:
Post a Comment