Kwakuanza
naomba nitoe pongezi kwa kazi nzuri ambayo itawalazimu baadhi ya watu
kushindana na nafasi zao na maamuzi yao pia umefanya kazi nzuri
ambayo inastaili pongezi,lakini pia nampongeza Pancho latino na Harmy
B kwa kazi nzuri waliofanya katika kutengeneza mdundo wa kijanja
zaidi.
Tukiludi
kwa wasaniii walioshiriki kila mmoja amefanya kazi yake kama msaniii
kuona anafikisha kile alichokusudia kwa Fans wake so Mabeste humo
ndani umefanya kazi nzuri lakini hata Gozy B umefanya kazi kubwa
sanaa.
Kupitia
ngoma hii ya LATINO NATION Imeweza kuonesha uwezo wa Hali ya juu kwa
mtu mmoja mmoja.
SO
BIG UP SANAA NAKARIBIA LATINO NATION







0 comments:
Post a Comment