Monday, July 15, 2013

BAADA YA AGNES MASUGANGE KUKAMATWA BELLE9 AFUNGUKA YA MOYONI.

Msanii Belle 9 anaefanya muziki wa Bonge fleva na kuiwakilisha vizuri Morogoro katika tasnia ya muziki siku kadhaa baada ya tetesi za kukamatwa kwa Video Queen wa Ngoma ya Masungange ya Belle 9 Agnes Gerald kwa tuhuma za madawa ya kulevya huko nchini South Africa Belle 9 amefunguka ya moyoni.

Msanii huyo amefunguka baada ya kusumbuliwa sana kwa kupigiwa simu hata na watu asiowafahamu na kumuuliza juu ya kukamatwa kwa Video Queen huyo ambae aliutendea haki wimbo wa Masugange mpaka kupata jina la Agnes Masugange.

Siku zote hupigi simu wala huna mazoea na mimi leo unanipigia na kuniuliza kuhusu agnes hhahahaha fuck ua self”



0 comments:

Post a Comment