Monday, April 15, 2013

PICHA TATU ZA BEYONCE AKIWA KATIKA VAZI LA BIKINI



katika week chache mwanadada beyonce alikuwa katika wakati mgumu sana kwanza kuhusiana na Single yake “Bow Down” na pili kuhusiana na safari yake kwenda nchini Cuba kusherekea miaka mitano ya ndoa yake huku akiwa ameambatana na mume wake.



Lakini hakuna utata juu picha ya seti mpya za bikini za mwanadada Beyonce ambazo H&M wamezitambulisha kama matangazo ya Nguo hizo
mcheki mwenyewe bidada Beyonce






0 comments:

Post a Comment