Monday, April 15, 2013

EAST AFRICA MELODY WAPATA PIGO

Haji Mohamed enzi za Uhai wake 
Add caption
East African Melody Taarabu wamepata pigo baada ya Mkurugenzi wa kundi hilo Bw Hadji Mohamed Kufariki Dunia Asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mfupi katika hospitali ya Rufaa ya Muhimbili na kupatwa na umauti huo.Mungu amlaze pema peponi AMINA.

0 comments:

Post a Comment