1:41 AM
siku ya jumapili
kulikuwa na Tamasha la kuwatunuku Tuzo wasanii mbalimbali wa movie
ulimwenguni waliofanya vyema katika mwaka wa 2012,Tuzo hizo
ziliandaliwa na MTV na zinatambulika kama MTV Movie Awards.
Katika tamasha hilo
lilotawaliwa na vioja vituko na vichekesho mbalimbali kutoka kwa
mastaa mbalimbali wa filamu ulimwenguni lakini mbali na yote hayo
vijana wawili ambao ni Seth Rogen na Danny McBride waliwaacha hoi
watu waliokuwa katika viunga hivyo wakifuatilia zoezi zima la Tuzo
hizo baada ya kuvua suruali zao pindi walipokuwa jukwaanii huku
wakiwa wamevaa boksa zenye vioja pia.
0 comments:
Post a Comment