Tuesday, July 23, 2013

KAZIMOTO ATOROKA KWA FAIDA

kiungo wa Klabu ya Simba Sports Club ya Jijini Dar es salaam na timu ya Taifa ya Tanzania,Mwinyi kazi moto aliedaiwa kutoroka wakiwa katika kambi ya Taifa Stars na kuelekea Uarabuni mwisho wa week iliyopita baada ya klabu ya.....Lekhwiya inayoshiriki Ligi Kuu ya Qatar (Qatar Stars League) kusema iko mbioni kumlipa mamilioni ya pesa ili ajiunge nayo na pia kumuahidi mkataba utakamuingizia mshahara mnono wa kila mwezi.

Taarifa zilizopatika nizadaikuwa Kiungo huyo atalamba atalamba dau la Sh. milioni 85 kama fedha za usajili ikiwa atapita majaribio katika klabu hiyo yenye makao yake katika mji mkuu wa nchi hiyo, Doha.

Mwinyi kazi moto amesajiliwa na Club ya Simba akitokea JKT Ruvu.

0 comments:

Post a Comment