Monday, June 3, 2013

PICHA YA SIKU BOB JUNIOR AKIWA NA MWANAE,

KATIKA POZI NI BOB JUNIOR AKIWA NA MWANAE KIPENZI ATAKAE RIDHI MIKOBA YA URAISI WA MASHAROBARO BAADA YA MZAZI KUIWEKA PEMBENI SIKU ZA USONI.

HUU NI MFANO WA KUIGWA KAMA MZAZI KUTUMIA MUDA WAKO KUREA MWANAO NA SI KUWAKIMBIA NA KUSABABISHA WATOTO WASIO NA MAKOSA KUISHI KWA SHIDA NYINGI

MPAKA HAPO UMEKATA MANENO YA WATU WALIOKUTUPIA MANENO MACHAFU HAPO UMEONESHA WANAUME WAKO

BIG UP BOB JUNIOR

0 comments:

Post a Comment