Katika
Filamu Hiyo inayotarajiwa kuingia sokoni siku za karibuni JB amempa
shavu Mwanadada Irene Uwoya katika kuhakikisha kitu cha zawadi Yangu
kinafanya poa zaidi kutokana na umahiri wa watu hao pindi wawapo
kazini katika kuuvaa uhalisia wa jambo wanaloliwakirisha katika
jamiii.
Mbali
na Uwoya wasanii wengine waliouza sura katika Filamu hiyo ni pamoja
na Bi Hindu,Shamsa Ford, Chuma Suleimani na wengine Kibaoo,Zawadi
yangu Ni filamu inayozungumzia namna kina MaMa wengi wanavyotawala
Ndoa za watoto wao na kusababisha baadhi ya Matatizo katika Ndoa za
watoto wao pia .
0 comments:
Post a Comment