Kenyan Boss Lady Huddah amekuwa mshiriki wa Pili kutoka katika Mashindano kutokana na kushindwa kubakishwa kwa kura za watazamaji wa shindano hilo,ambao wao huchagua mtu gani wa kumbakisha katika shindano hilo .
Hudda alionesha kutotarajia kutolewa katika shindano hilo akiamini kuwa huenda wachalii wa kenya wangekuwa wamempa kura nyingi ili kumbakisha katika jumba hilo kama muwakirishi wao lakini haikuwa hivyo.
Boss Lady atarejea nyumbani nchini kenya na kuendelea na maisha yake ya kawaida pande za Kenya.
0 comments:
Post a Comment