Monday, June 17, 2013

WAKALI WA TUZO KUANZA KAZI JMOSI

Wale wa kali wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awards kwa mwaka 2013 na washiriki wa tuzo hizo wataanza rasmi Tour ya Kilimanjaro Music Awards siku ya Jumamosi hii ya Tarehe 22 katika viwanja vya Jamhuri Stadium pande za Dodoma kwa kiingilio cha buku mbili mia tano na zawadi ya Kilimanjaro Moja.

Kili Music Awards kwa mwaka huu inakwenda kwa Slogan ya Kikwetu kwetu kwani burudani itayokuwa ikitolewa ni kutoka kwa wasanii wa nyumbani,wakitupa burudani za nyumbani na katika viwanja vya nyumbani.







0 comments:

Post a Comment