Mtayarishaji
wa Video za Muziki wa Kibongo aliefanya kazi ya Ben Paul Jikubali
Nisher,anatarajia siku ya leo kutoa kazi mpya ya Msanii Feza Kessy
binti anaeiwakilisha Tanzania katika Jumba La Big Brother huko nchini
South Africa.
“Masaa
12 Kuanzia sasa Nisher Entertainment itatoa Kazi Mpya Ya Mwana Dada
Feza Kessy (BBA2013) .... ni video yake aliyoifanya na mimi kupitia
Kampuni yetu ya Nisher Entartainment”
Nisher
hajataka kuweka wazi Jina la wimbo huwa mpya wa Fezza Kessy na
kuwataka mashabiki wakae teyali kupokea kazi nyingine nzuri kutoka
kwake.
0 comments:
Post a Comment