Baada
ya kufanya poa sana na ngona ya Muziki gani Ney wa Mitego akiwa na
Diamond Platnum mkali huyo alielamba tuzo ya Kili Music Awards kwa
wimbo Bora wa Hip -Hop ameachia ngoma nyingine inayokwenda kwa jina
la Love Sipati akiwa ameimpa shavu Sheby.
Katika
ngoma hilo ambalo mkali wa Hip Hop amelalama kwa kuimba limefanywa na
mtu mzima Nas Bussiness katika Studio ya Pamoja Records.
Ney
wa mitego amekuwa msanii wa kwanza kuiwakilisha vizuri Manzese kwa
kurudisha Tuzo kwa mwaka huu pande hizo.
0 comments:
Post a Comment