Mwanadada
Faty aka Dj Fatty ambae ni Dj wa kike na mtangazaji wa Kituo cha Radio
Moja hapa town ameonesha kuguswa sana na kifo cha msanii wa Hip Hop
Albert Mangwea aliefariki kwa matumizi ya Madawa ya kulevya huko
Nchini South Afrika katika Hospitali ya St Helen Joseph.
Dj
fatty amesema anaumia sana hasa kila asikiapo Sauti ya Rapa huyo
aliekuwa anafanya poa kunako Muziki wa Bongo fleva na amedai ni kama
anamuona mbele yake,kama anaiona Sura yake na ameapa kujifunza na
kamwe kutonyamaza tena
“Inaniuma
sana kila nikiskia sauti yake, is like namuona mbele yangu, his face,
and all. I SWEAR nimejifunza na kamwe sitanyamaza tena”
Kifo
cha Ngwea kinahusishwa na matumizi ya madawa ya kulevya kuwa alitumia
madawa ya kulevya na yamempelekea kupoteza maisha.
0 comments:
Post a Comment