Wale
wa kale wa Hip Hop Tz nawazungumzia Weusi kutoka pande za R chuga Joh
Makini Mwamba wa Kaskazini akiwa na Lord izee alhamisi hii watafanya
Show kali pande za Tegeta katika Club YA 71 kwa week hii Joh
Ataonesha Wamba wake na kuwapa raha wote watakao ibuka pande za
Tegeta kwa kutoa Support kwa weusi hao.
Joh
makini na Lord izee ni wakali waliona ngoma kali Hits Hivyo usiku huo
wa weusi utakuwa poa zaidi kwa kupata ngoma tamu zenye Swaga za Kileo
cha kufanya tukutane pande zile kwa kuwapa Support Weusiiiiiiiiii.
0 comments:
Post a Comment