Matokeo
ya wanafunzi waliofanya Mtihani wa Kidato cha Sita na wale waliofanya
Mtihani wa Kidato cha Nne mwaka jana kutangazwa wiki ijayo ikiwa
mambo hayatabadilika.
Kwa
mujibu wa Baraza la Mitihani NECTA wamesema kuwa
Matokeo
ya kidato cha nne yaliyopangwa upya yatatoka wiki ijayo kama mambo
yakienda sawa. Baada ya kupangwa upya.
UFAULU
UMEONGEZEKA
Kwa
kutumia viwango vya zamani, matokeo mapya yamewezesha kiwango cha
ufaulu kupanda na kufikia asilimia kati ya 54 na 57.
Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) kufanya marekebisho alama za viwango vya ufaulu.

0 comments:
Post a Comment