Monday, May 27, 2013

PICHA MBILI ZA WACHEZAJI WA TAIFA STARS WAKIWA KATIKA SUTI MATATA KUTOKA KWA MBUNIFU SHERIA NGOWI

VIJANA WA TAIFA STARS WATAKUWA WAKITUMIA MAVAZI YA SUTI ZILIZOBUNIWA NA MBUNIFU SHERIA NGOWI PINDI WAENDAPO SAFARI,KAMPUNI YA TBL CHINI YA KILIMANJARO NDIO WADHAMINI WAKUBWA NA JANA VIJANA WALIKUWA WAKIONESHA NAMNA WALIVYOTOKELEZEA KATIKA VAZI HILO LA SUTI KUTOKA KWA MBUNIFU WA NYUMBANIII .

WACHEKI KATIKA PICHA



Wachezaji wa Taifa Stars, Kelvin Yondani (kushoto) na Nadir Haroub 

0 comments:

Post a Comment