Mwaka
huu Lulu ameweka wazi Miaka yake ya kuzaliwa kutokana na utata
uliokuwepo juu ya miaka halisi ya Muigizaji huyo kwani kwa mara ya
kwanza alidanganya sana na kuficha umri wake ili tu aweze kupata
ridhaa ya kuingia katika makumbi ya starehe na kufanya starehe
zilizokuwa nje ya miaka halisi yake.
Lakini
leo hii ameweka wazi kwa kuandika miaka yake halisi katika Keki
iliyoandaliwa katika Sherehe hiyo.
0 comments:
Post a Comment