Wednesday, April 10, 2013

JUSTIN TIMBERLAKE AMFUATA MRS OBAMA IKURU

Msanii maarufu wa miondoko ya R&B kutoka nchini Marekani Justin Timber lake amemfuata Michelle Obama White House katika kutoa support katika maonesho ya muziki yenye lengo la kutoa elimu juu ya muziki Nchini humo.

Kwa kutumia kipaji chake,Justine Timber lake amemuunga mkono Michelle Obama katika viunga vya Ikulu jumanne (jana) katika kutoa elimu kwa watu wengine kuhusiana na muziki. 
 
Katika onesho hilo lililokuwa likiongozwa na Mrs.Obama,lilihusisha wanafunzi wa kati na juu kabsa kutoka sehemu mbali mbali za Nchi hiyo lenye lengo la kuwafunza kuhusiana na sanaa ya muziki na kazi ngumu iliyopo pindi unapokuwa Msanii.



Jumanne ijayo,Timberlake ataungana na panelists wengine katika tamasha litakalofanyika White house Memphis Soul”






0 comments:

Post a Comment